logo-home

SAGACITY//////////////////////////////////////////

Hi,I'm Sirthea am expert on courses like;Nursing,Law,Psychology,Human Resource Management.I will be providing you with quality study materials everyday.I do ensure scolarly standards in my documents and i assure you a GOOD GRADE if you use my study resources.Please Don't forget to Review after using my resources.Thank You!

Community

  • Followers
  • Following

1 Reviews received

610 items

USHAIRI 50 MASWALI NA MAJIBU.

(0)
$10.99
0x  sold

USHAIRI WA 1 Soma shairi lifuatalo kwa makini halafu ujibu maswali yanayofuata 1. Naja sasa ni ndiyani, naja kwetu Mzalendo Naja nirudi nyumbani, nilowekwa nako kando Kwetu’ mi nakutamani, kulo na mwingi uhondo Nijaye ni yule nyundo, misumari hadharini 2. Naja kwingine kuwapi, kulojaa langu pendo? Huenda nende kwinginepi, sawa nako kwa muundo? Kaa kwingine anapi, ela kwenye lakwe gando? Nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini 3. Naja nije rudi papo, panigedeme mgando Ningaambwa kwe...

i x
  •  Package deal
  • Exam (elaborations)
  •  • 113 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

MAELEZO KUHUSU VIAMBISHI MAALUM.

(0)
$11.99
0x  sold

Matumizi ya maneno na viambishi maalum 1. Kwa Hutumiwa ili kuleta au kuonyesha maana zifuatazo:  Mahali – ili kuonyesha mahali ni lazima kwa ifuatwe na jina la binadamu. Mf.  Tafadhali nionyeshe kwa Namwaya. Hii ni njia ya kwenda kwa mwalimu mkuu. Kesho nitaenda kwa nyanyangu.  Umilikaji wa mahali- hupachikwa kwenye mizizi ya viambishi vimilikishi nafsi (-angu, -ako, -enu, -ao) mifano  Ninaenda kwao. Unacheza kwako. Analima kwake. Wanalima kwao.  Kivumishi cha A-...

i x
  •  Package deal
  • Summary
  •  • 16 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

UCHANGANUZI WA SENTENSI

(0)
$14.49
0x  sold

UCHANGANUZI WA SENTENSI • Kuchanganua ni kuonyesha sehemu zinazounda kitu fulani • Kila sentensi huwa na visehemu au vipashio mbalimbali • Uchanganuzi wa sentensi basi unahusu kubainisha au kuweka wazi sehemu hizo tofauti ISHARA ZA KUTUMIA • KN- KIKUNDI NOMINO • KT- KIKUNDI TENZI • KE-KIKUNDI ELEZI • KH-KIKUNDI HUSISHI • N- NOMINO • T-KITENZI • W-KIWAKILISHI • V-KIVUMIKSHI • E-KIELEZI • U- KIUNGANIKSHI • H-KIHUSISHI • I-KIHISISHI • S- KISHA

i x
  •  Package deal
  • Summary
  •  • 18 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

MAELEZO YA ISIMU JAMII.

(0)
$14.49
0x  sold

Isimujamii - Ni taaluma inayochunguza uhusianouliopo baina ya lugha na jamii. Hasa hushughulikia jinsi watu wanavyotumia lugha katika jamii. Isimu- ni uchunguzi wa lugha kisayansi. Jamii – ni kundi filani la watu wenye uhusiano fulani. Mambo yanayoshughulikiwa katika isimu jamii i) Tofauti katika lahaja za lugha kama vile Kiswahili cha lamu(kiamu), cha Mombasa(kimvita), cha unguja(kiunguja), cha bara. ii) Tofauti katika matumizi ya lugha baina ya makundi tofauti tofauti katika jamii. Mf...

i x
  •  Package deal
  • Summary
  •  • 22 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

INSHA & USHAIRI NOTES Carefully compiled the Smart way

(0)
$12.49
0x  sold

Utungo unaoundwa kwa mfululizo wa sentensi zinazozungumzia jambo, tukio au kitu fulani Aina 1. INSHA ZA KAWAIDA a) Insha ya Picha  Ambapo mwanafunzi amepewa picha kadha na kutakiwa kutunga kisa na kueleza yote yanayotokea kwenye picha hizo. Chunguza vizuri ujue kinachotokea katika hizo picha.  Kichwa kiafikiane na picha ulizopewa. Kila picha ipangwe na kuwa na aya moja. b) Insha ya Methali  Insha inayosimulia kisa kinachoonyesha ukweli au uongo wa methali Fulani.  Wazia...

i x
  •  Package deal
  • Summary
  •  • 23 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

FASIHI SIMULIZI NOTES

(0)
$11.49
0x  sold

Fasihi ni sanaa inayotumia lugha kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu. Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na hisia za binadamu kama vile maneno, maandishi, uchoraji, uchongaji, ufinyanzi n.k. Fasihi simulizi ni sanaa kwa vile: a) Huwasilisha ujumbe kuhusu binadamu kuhusu utamaduni na uchumi. b) Huwa na umbo mahsusi k.m. hadithi huwa na mwanzo, kati na mwisho na mashairi huwa na beti, mishororo, n.k. c) Hutumia lugha kwa ufundi k.v. ya kitamathali. d) Husawiri mandhari/mazingira mahsus...

i x
  •  Package deal
  • Summary
  •  • 47 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

MTIHANI WA LIKIZO FUPI MUHULA WA TATU-2022 MWONGOZO WA KUSAHIHISHA

(0)
$11.49
0x  sold

a. r- Kimandende p- Kipasuo m- Nazali ( AL 1×3) b. Ala songezi – ala ambazo husongeasongea kwenye viungo vingine vya kutamkia wakati mtu anapotamka sauti za Kiswahili.Mfano , Ulimi n Midomo. Ala tuli-viungo ambavyo vimetulia na havisongi wakati wa kutamka, mfano, meno, ufizi, kaakaa laini, kaakaa ngumu na chemba cha pua au koo. (AL 1×4) c. Konsonanti na Irabu -konsonanti inapotamkwa mkondo wa hewa kutoka mapafuni huzuiwa na ala za matamshi ilhali irabu zinapotamkwa hewa haizuiwi n...

i x
  • Exam (elaborations)
  •  • 2 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

MATUMIZI YA LUGHA

(0)
$11.49
0x  sold

a. Taja aina za konsonanti zifuatazo: (AL3) /r/…………………………………………………………………………………… /p/…………………………………………………………………………………... /m/………………………………………………………………………………….. b. Eleza maana na utoe mifano ya: ...

i x
  • Exam (elaborations)
  •  • 3 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  28-11-2022
Quick View
i x

Test Bank - Wong's Nursing Care of Infants and Children (11e by Hockenberry)

(0)
$12.49
0x  sold

1. The clinic nurse is reviewing statistics on infant mortality for the United States versus other countries. Compared with other countries that have a population of at least 25 million, the nurse makes which determination? a. The United States is ranked last among 27 countries. b. The United States is ranked similar to 20 other developed countries. c. The United States is ranked in the middle of 20 other developed countries. d. The United States is ranked highest among 27 other indu...

i x
  • Exam (elaborations)
  •  • 803 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  30-10-2022
Quick View
i x

Test Bank - Wong's Nursing Care of Infants and Children (11e by Hockenberry)

(0)
$12.49
0x  sold

Table of Contents Table of Contents. 1 Chapter 01: Perspectives of Pediatric Nursing 2 Chapter 02: Social, Cultural, Religious, and Family Influences on Child Health Promotion 18 Chapter 03: Hereditary Influences on Health Promotion of the Child and Family 36 Chapter 04: Communication, Physical, and Developmental Assessment of the Child and Family 54 Chapter 05: Pain Assessment and Management in Children 76 Chapter 06: Childhood Communicable and Infectious Diseases 94 Chapt...

i x
  • Exam (elaborations)
  •  • 803 pages • 
  • by SIRTHEA • 
  • uploaded  30-10-2022
Quick View
i x